Books – ABH https://abhbooks.com Simplified Biblical Training in Bite-Sized Books. Fri, 22 Nov 2024 19:40:44 +0000 en-US hourly 1 https://abhbooks.com/wp-content/uploads/2022/04/cropped-ABH_Logo_Color_Square_web-1-32x32.jpg Books – ABH https://abhbooks.com 32 32 Viudez https://abhbooks.com/books/viudez/ https://abhbooks.com/books/viudez/#respond Fri, 22 Nov 2024 19:38:05 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=4229 https://abhbooks.com/books/viudez/feed/ 0 Caregiving https://abhbooks.com/books/caregiving/ https://abhbooks.com/books/caregiving/#respond Fri, 22 Nov 2024 19:23:26 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=4227 Caregiving Read More »

]]>
The demands of caring for a sick or disabled love one can feel beyond anyone’s strength. Caregiving often requires more sacrifice, endurance, and flexibility than you can bear alone. But don’t yield to despair! Even in your task-filled days, God invites you to a deeper relationship with him. Caregiving: A Path Toward God helps you rest in God’s lovingkindness during seasons of weariness and grief. Caregiving also provides guidance to pastors and spiritual leaders who care for caregivers.

]]>
https://abhbooks.com/books/caregiving/feed/ 0
A Walk with the Wounded https://abhbooks.com/books/a-walk-with-the-wounded/ https://abhbooks.com/books/a-walk-with-the-wounded/#respond Wed, 14 Jun 2023 19:23:02 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=3499 Sometimes emotionally wounded people need more than a sermon on Sunday. They need someone to walk beside them and shine Scripture on their dark path. A Walk with the Wounded equips pastors, church leaders, and other non-professional counselors as they walk alongside and give guidance to a struggling friend.

]]>
https://abhbooks.com/books/a-walk-with-the-wounded/feed/ 0
Viudez: Cuando la Muerte Deja Vacia Tu Vida https://abhbooks.com/books/viudez-cuando-la-muerte-deja-vacia-tu-vida/ Thu, 21 Apr 2022 22:23:55 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=2078 Viudez: Cuando la Muerte Deja Vacia Tu Vida Read More »

]]>
No Solamente para viudas o viudos…

Este libro Viudez da validez a la severidad de las emociones espresadas por los que sufren la perdida de su cónyuge. Como un amigo en que puedes confiar, camina al lado tuyo para ofrecerte esperanza.

Fran también provee ideas para pastores, consejeros, y amigos que animan a los que están sufriendo en el proceso de vivir la vida—y abrazarla—la mezcla de gozo y tristeza.

]]>
Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi https://abhbooks.com/books/sina-dosari-jinsi-ya-kupata-matumaini-na-uponyaji-baada-ya-kudhalilishwa-kimapenzi/ Thu, 21 Apr 2022 21:13:13 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=2075 Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi Read More »

]]>
Ndani na Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha nija ya kutoka kwenye Maisha yaliyojaa aibu kwenda kwenya Maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka kwenda kwenye maisha ya amani.

Sina Dosari kitakusaidia:

  • Kuwa na ujasiri wa kusimulia ushuhuda wako.
  • Kutambua njia ambazo Mungu anatumia kuleta uponyaji.
  • Kutambua kinga dhidi ya uchungu
  • Kuielewa shauku ya Mungu juu yako.

Kupaswi kuishi milele ukiwa na dosari ya kudhalilisha kimapenzi.

]]>
Uanafunzi: Kumfuata Yesu https://abhbooks.com/books/uanafunzi-kumfuata-yesu/ Tue, 19 Apr 2022 16:25:08 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=1598 Uanafunzi ni nini? Kanuni? Kitabu kingine cha ziada cha kusoma? Mwalimu wa kuigwa? Uanafunzi: Kumfuata Yesu ni kitabu kinachotupatia mwito wa kuwa wanafunzi wa Yesu na pia kuwasaidia wengine kuwa wanafunzi. Je utaukubali mwito huu?

]]>
Upinzani Baina ya Mungu na Utamaduni https://abhbooks.com/books/upinzani-baina-ya-mungu-na-utamaduni/ Tue, 19 Apr 2022 16:17:17 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=1596 Je, uko radhi kuikubali changamoto ya kuzitathmini tamaduni, mapokeo na jadi zako za kibinadamu dhidi ya uhalisia wa dunia iliyoumbwa na Mungu?

Upinzani Baina ya Mungu na Utamaduni kinatupatia changamoto ya kufikiria na kupambanua baina ya kweli na uongo tuupatao kutoka katika tamaduni, kwa kuulinganisha na kweli kuu: Neno la Mungu

]]>
Kuchunga Kanisa la Mungu https://abhbooks.com/books/kuchunga-kanisa-la-mungu/ Tue, 19 Apr 2022 16:09:51 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=1594 Kuchunga Kanisa la Mungu Read More »

]]>
He unalielewaje jukumu lako la uchungaji—au uongozi wa kanisa? Mungu Ana matarajio gani kwa wake aliowaita kulea na kuongoza wengine? Kuchunga Kanisa la Mungu ni Kitabu kinachofunua safari ya Immanuel, kijana ambaye anaingia kwenye uongozi wa kanisa baada ya mchungaji wa kanisa la kijijini kwao kufariki. Kitabu hike ni chachu kwa kila kiongozi kufuata namna Mungu anavyoongoza.

]]>
Ujane: Kifo Kinapokunyonya Uhai Wako https://abhbooks.com/books/ujane-kifo-kinapokunyonya-uhai-wako/ Tue, 19 Apr 2022 16:03:07 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=1590 Ujane: Kifo Kinapokunyonya Uhai Wako Read More »

]]>
SIO KWA AJILI TU YA WAJANE NA WAGANE

Kitabu hiki cha Ujane kinadhihirisha na kuhalalisha uzito wa hisia za ndani wanazopitia wale wote wanaoomboleza kuondokewa na wenzi wao. Kama Rafiki wa kuaminika, kitabu hiki kitatembea nawe na kukuletea tumaini.

Fran pia anatoa ujuzi kwa wachungaji, washauri, na marafiki wa karibu wanaoleta faraja kwa waombolezaji wanapopitia mchakato huu wa kujaribu kuyaishi maisha katikati ya huzuni na furaha.

]]>
Discipleship: Following Jesus https://abhbooks.com/books/discipleship-following-jesus/ Tue, 12 Apr 2022 17:25:06 +0000 https://abhbooks.com/?post_type=books&p=1079 What does it mean to follow Jesus? Join Dr. Golding on the path to learning what it looks like to follow the Savior.

]]>