Description
Wasifu wa Mwandishi:
Mary DeMuth, ni mwandishi anayejulikana sana, na hupenda kuwasaidia watu kutambua uponyaji wao wa kiungu. Anaishi Texas na mumemwe Patrick, na ni mama wa Watoto watatu.
Muhtasari wa Kitabu:
Ndani na Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha njia ya kutoka kwenye maisha yaliyojaa aibu Kwenda kwenya maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka Kwenda kwenye maisha ya amani.
Sina Dosari kitakusaidia:
- Kuwa na ujasiri wa kusimulia ushuhuda wako.
- Kutambua njia ambazo Mungu anatumia kuleta uponyaji.
- Kutambua kinga dhidi ya uchungu.
- Kuielewa shauku ya Mungu juu yako.
Hupaswi kuishi milele ukiwa na dosari ya kudhalilisha kimapenzi.

