Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

[email protected]

Latest Posts

Upinzani Baina ya Mungu na Utamaduni

Category:

Description

Wasifu wa Mwandishi: 

Dr. Thomas Golding ni muhitimu wa chuo kiitwacho Dallas Theological Seminary katika ngazi ya Shahada ya uzamili (ThM) na Shahada ya Uzamivu (PhD). Kwa miaka mingi amekuwa akifundisha na kushauri wanafunzi kama mkuu wa chuo kiitwacho College of Ministries nchini Australia. Kwa sasa, Dr. Golding ni mwandishi wa machapisho ya kitheolojia kwa ajili ya mafunzo na hufundisha pote ulimwenguni. Yeye na mkewe, Diane wanaishi Adelaide, Australia Kusini.

Muhtasari Kitabu: 

Je, uko radhi kuikubali changamoto ya kuzitathmini tamaduni, mapokeo na jadi zako za kibinadamu dhidi ya uhalisia wa dunia iliyoumbwa na Mungu?  Upinzani Baina ya Mungu na Utamaduni kinatupatia changamoto ya kufikiria na kupambanua baina ya kweli na uongo tuupatao kutoka katika tamaduni, kwa kuulinganisha na kweli kuu: Neno la Mungu 

 

 

 

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Upinzani Baina ya Mungu na Utamaduni”

Your email address will not be published. Required fields are marked *