Grief

Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi

Ndani na Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha nija ya kutoka kwenye Maisha yaliyojaa aibu kwenda kwenya Maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka kwenda kwenye maisha ya amani. Sina Dosari kitakusaidia: Kuwa na ujasiri wa kusimulia ushuhuda wako. Kutambua njia ambazo Mungu anatumia kuleta uponyaji. Kutambua kinga dhidi ya uchungu Kuielewa shauku …

Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi Read More »

Ujane: Kifo Kinapokunyonya Uhai Wako

SIO KWA AJILI TU YA WAJANE NA WAGANE Kitabu hiki cha Ujane kinadhihirisha na kuhalalisha uzito wa hisia za ndani wanazopitia wale wote wanaoomboleza kuondokewa na wenzi wao. Kama Rafiki wa kuaminika, kitabu hiki kitatembea nawe na kukuletea tumaini. Fran pia anatoa ujuzi kwa wachungaji, washauri, na marafiki wa karibu wanaoleta faraja kwa waombolezaji wanapopitia …

Ujane: Kifo Kinapokunyonya Uhai Wako Read More »