healing

Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi

Ndani na Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha nija ya kutoka kwenye Maisha yaliyojaa aibu kwenda kwenya Maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka kwenda kwenye maisha ya amani. Sina Dosari kitakusaidia: Kuwa na ujasiri wa kusimulia ushuhuda wako. Kutambua njia ambazo Mungu anatumia kuleta uponyaji. Kutambua kinga dhidi ya uchungu Kuielewa shauku

Sina Dosari: Jinsi ya Kupata Matumaini na Uponyaji Baada ya Kudhalilishwa Kimapenzi Read More »

Kuchunga Kanisa la Mungu

He unalielewaje jukumu lako la uchungaji—au uongozi wa kanisa? Mungu Ana matarajio gani kwa wake aliowaita kulea na kuongoza wengine? Kuchunga Kanisa la Mungu ni Kitabu kinachofunua safari ya Immanuel, kijana ambaye anaingia kwenye uongozi wa kanisa baada ya mchungaji wa kanisa la kijijini kwao kufariki. Kitabu hike ni chachu kwa kila kiongozi kufuata namna

Kuchunga Kanisa la Mungu Read More »