Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

[email protected]

Latest Posts

Ulimwengu Mkamilifu wa Mungu

Category:

Description

Wasifu wa Mwandishi:

Howard Joslin alipata shahada ya ThM kutoka Seminari ya Theolojia ya Dallas mnamo 2006 na akapata Tuzo ya Merrill Unger kwa ubora katika utafiti wake wa Agano la Kale. Howard anapenda kufundisha Maandiko na kuwatia moyo wanafunzi wake “kuangalia maandishi” badala ya vitabu vingine vya kujifunzia Biblia. Howard anafurahia kupanda milima na kutumia muda wake na mke wake, Fran, watoto wao saba, na wajukuu wawili.

Muhtasari wa Kitabu: 

Je, huwa unasoma Biblia kwa kupitia tu au unaisoma kwa umakini? Je, unatazama juu juu au unachimba kwa kina? Acha Biblia ya Kujifunza ikuongoze katika utafutaji mkubwa zaidi wa hazina maishani mwako. 

Tafsiri hii mpya inakusaidia kusoma vifungu unavyovifahamu kwa macho mapya. Mtindo wa uandishi wenye kuonekana huonyesha muundo wa kila kifungu. Maswali rahisi hukuchochea kuchunguza Maandiko kwa karibu, huku maswali ya tafakuri yakiweka maarifa ya kibiblia katika moyo wako na maisha yako. Sehemu ya kwanza katika mfululizo wa BYK, Ulimwengu Mkamilifu wa Mungu inachunguza kazi ya Mungu ya uumbaji katika Mwanzo 1-2. 

 

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Ulimwengu Mkamilifu wa Mungu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *