Become A Donor

Become A Donor
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry.

Contact Info

684 West College St. Sun City, United States America, 064781.

(+55) 654 - 545 - 1235

[email protected]

Latest Posts

Sina Dosari

Category:

Description

Wasifu wa Mwandishi:

Mary DeMuth, ni mwandishi anayejulikana sana, na hupenda kuwasaidia watu kutambua uponyaji wao wa kiungu. Anaishi Texas na mumemwe Patrick, na ni mama wa Watoto watatu. 

Muhtasari wa Kitabu:

Ndani na Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha njia ya kutoka kwenye maisha yaliyojaa aibu Kwenda kwenya maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka Kwenda kwenye maisha ya amani. 

Sina Dosari kitakusaidia: 

  • Kuwa na ujasiri wa kusimulia ushuhuda wako. 
  • Kutambua njia ambazo Mungu anatumia kuleta uponyaji. 
  • Kutambua kinga dhidi ya uchungu. 
  • Kuielewa shauku ya Mungu juu yako. 

Hupaswi kuishi milele ukiwa na dosari ya kudhalilisha kimapenzi. 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sina Dosari”

Your email address will not be published. Required fields are marked *